Ingia / Jisajili

Bwana Asema

Mtunzi: Ernest Magunus
> Mfahamu Zaidi Ernest Magunus
> Tazama Nyimbo nyingine za Ernest Magunus

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 376 | Umetazamwa mara 921

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

 Bwana asema Mimi niwokovu wa watu, wakinililia katika taabu Yoyote nitawasikiliza.×2

MASHAIRI:

1. Nami nitakuwa Bwana wao milele, Ukaniite siku yamateso Nitakuokoa.

2. Kwa maana Bwana Mungu wetu ndiye MTAKATIFU Sana, Ametukuka juu ya miungu juu ya miungu yote.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa