Ingia / Jisajili

Furahini Katika Bwana

Mtunzi: Ernest Magunus
> Mfahamu Zaidi Ernest Magunus
> Tazama Nyimbo nyingine za Ernest Magunus

Makundi Nyimbo: Majilio | Mwanzo

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 371 | Umetazamwa mara 1,440

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Furahini Katika Bwana,  Furahini siku zote, Tena nasema furahini Bwana yu karibu :||

Jamii:

  1. Upole wenu naujulikane na watu, Msijisumbue kwa neno lolote, ||: Bali kusali nakufunga kuomba na kushukuru :||

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa