Ingia / Jisajili

MUNGU ATAWALETA PAMOJA NAYE

Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi | Mwanzo

Umepakiwa na: Halisi Ngalama

Umepakuliwa mara 81 | Umetazamwa mara 315

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Marehemu Wote

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kama kristo hangalikufa akafufuka vivyohivyo na hao waliolala katika Kristo Mungu atawaleta pamoja  nayeX2

1; Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa kadhalika na katika kristo wote watahuishwa.

2; Tujiandae katika maisha haya ya dunia siku yetu ikishawadia tukaishi mbinguni.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa