Ingia / Jisajili

Mungu Wangu Mbona Umeniacha?

Mtunzi: E. Kalluh
> Tazama Nyimbo nyingine za E. Kalluh

Makundi Nyimbo: Matawi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 1,793 | Umetazamwa mara 4,338

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Ijumaa Kuu
- Katikati Dominika ya Matawi

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha?

Mashairi:

1. Wote wanionao hunicheka sana/ Hunifyonya, wakitikisa vichwa vyao.

2. Husema: Umtegemee Bwana, na amponye/ Na amwokoe sasa, maana apendezwa naye.
3. Kwa maana mbwa wamenizunguka/Kusanyiko la waovu, wamenisonga yamenizua mikono na miguu.

4. Wanagawanya nguo zangu, na vazi langu wanalipigia kura / Nawe, Bwana, usiwe mbali, Ee Mungu wangu, fanya haraka kunisaidia.

5. Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu / Katikati ya kusanyiko nitakusifu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa