Ingia / Jisajili

Nami Nimezitumainia fadhili zako

Mtunzi: Michael Mgalatia Jelas Nkana
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mgalatia Jelas Nkana

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Nkana

Umepakuliwa mara 200 | Umetazamwa mara 575

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 7 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 7 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 7 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

//:Nami nimezitumainia fadhili zako://

//:Moyo wangu naufurahie wokovu wako wokovu wako, naam nimwimbie Bwana kwa kuwa amenitendea kwa ukarimu://

1. E Bwana Mungu wawokovu wangu usikie niombapo kiliochangu kikufikie niombapo.

2. Maana ndiwe tegemeo langu mwamba wa maisha yangu Ee Bwana wangu nitakutukuza daima


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa