Mtunzi: Michael Mgalatia Jelas Nkana
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mgalatia Jelas Nkana
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Michael Nkana
Umepakuliwa mara 367 | Umetazamwa mara 1,562
Download Nota Download MidiKiitikio
//:Ninakushukuru Bwana wangukwamemayakouliyonitendea
Ninakushukur Bwana wangukwamemayakouliyoni tendea://
Ninakushukuru Bwana kwamemayakoyoteuliyonitendeamimikiumbemdhaifunashukurusananashukuru, nashukurusananashukuru.
1. Umenijaliaafyayamwili nay a rohoyangunashukuru,
Umeniepushanaajalinyingizamauti Bwana nashukuru,
Sina cha kukurudishiakwawemawakokwangumiminashukuru,
AeaeaeaeNashukuruAeaeaeaeNashukuruuu.
2. Umenijalianguvunawezakufanyakazizangunashukuru,
Ninakulanapumuakwauwezowako Bwana wangunashukuru
Sina cha kulipakwakozaidiyashukurani Bwana nashukuruuu
AeaeaeaeNashukuruAeaeaeaeNashukuruuu.
3. Wemanafadhilizakohaviwezikupimikakwangunashukuru,
Ingawamimimdhambininayatubumakosayangunashukuru,
Nitakushukurumimimaishayanguyotemiminashukuru.