Ingia / Jisajili

Siku Hii Ndio Alioifanya Bwana

Mtunzi: Michael Mgalatia Jelas Nkana
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mgalatia Jelas Nkana

Makundi Nyimbo: Pasaka | Zaburi

Umepakiwa na: Michael Nkana

Umepakuliwa mara 1,276 | Umetazamwa mara 3,519

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

// Siku hii ndio alioifanya Bwana //

// tutashangili na kuifurahia, tutashangilia nakuifurahia //

Mashairi

1. Aleluya Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni zamilele, Israel na aseme sasa ya kwamba fadhili zake ni za milele.

2. Mkono wakuume wa Bwana Umetukuza,Mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu, sitakufa bali nitaishi nami nitayasimulia matendo ya Bwana.

3.Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni, Neno hili Limetoka Kwa Bwana nalo ni Ajabu machoni petu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa