Mtunzi: Michael Mgalatia Jelas Nkana
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mgalatia Jelas Nkana
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Michael Nkana
Umepakuliwa mara 724 | Umetazamwa mara 2,027
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka C
Kiitikio
//:Njoni tuabudu tusujudu tupige magoti mbele za Bwana aliye tuumba://
//:Kwamaaana ndiye Mungu wetu kwa maana ndiye Mungu wetu://
Mashairi
1.Tuje mbele zake kwa kuimba tukicheza na kurukaruka tukishangilia ukuu wa Mungu wetu.
2.Pigeni ngoma kinanda zeze kinubi pia kayamba tukishangilia ukuu wa Mungu wetu