Ingia / Jisajili

Mwimbieni Bwana wimbo mpya

Maneno ya wimbo
//:Mwimbieni Bwana mwimbieni wimbo mpya kwa maana ametenda mambo ya ajabu://, //:machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake aleluya aleluya aleluya aleluya.:// Mashairi 1.Bwana ameufunua wokovu wake, ameufunua wokovu wake machoni pa mataifa. 2.mwimbieni Bwana nchi yote pazeni sauti, pazeni sauti zenu imbeni zaburi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa