Ingia / Jisajili

Neema

Mtunzi: Gerald R. Mussa
> Mfahamu Zaidi Gerald R. Mussa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald R. Mussa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Gerald Mussa

Umepakuliwa mara 946 | Umetazamwa mara 2,957

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

1.NEEMA-NA ENG. GERALD MUSSA

KIITIKIO:

Neema za Mungu wetu ziko juu yetu(neema),zikitoka Mbinguni.x2

MASHAIRI:

1.     Kwa neema leo namuimbia Mungu,kwa neema nitaimba hata mpaka nizeeke.

2.     Kwa neema leo nimekuwa kasisi,kwa neema nahubiri hata mpaka nizeeke.

3.     Kwa neema natumika kama mtawa,kwa neema nahudumu hata mpaka nizeeke.

4.     Kwa neema naishi maisha ya ndoa,kwa neema nina watoto na mafanikio tele.

5.     Kwa neema wote tumshukuru Mungu,kwa neema zake Mungu tumekuwa hivi tulivyo.


Maoni - Toa Maoni

sahabo bonfils Mar 27, 2017
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

Lawrence Charles Aug 31, 2016
Nyimbo ni nzuri nazipenda

Toa Maoni yako hapa