Ingia / Jisajili

Uje Bwana Kutuokoa

Mtunzi: Gerald R. Mussa
> Mfahamu Zaidi Gerald R. Mussa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald R. Mussa

Makundi Nyimbo: Majilio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Gerald Mussa

Umepakuliwa mara 1,885 | Umetazamwa mara 5,348

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

Uje Bwana,Uje Bwana,uje Bwana uje Bwana Kutuokoa x2

SHAIRI:

  1. Huishika kweli milele,huwafanyia hukumu walioonewa,huwapa wenye njaa chakula,Bwana hufungua waliofungwa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa