Ingia / Jisajili

Lakini Sisi

Mtunzi: Gerald R. Mussa
> Mfahamu Zaidi Gerald R. Mussa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald R. Mussa

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Gerald Mussa

Umepakuliwa mara 1,485 | Umetazamwa mara 3,898

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

Lakini sisi,yatupasa kuona,kuona fahari juu ya msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristu(Bwana) Yesu Kristu.x2

Mashairi:

  1. Yeye ndiye wokovu uzima na ufufuko wetu,nasi tumekombolewa nakusalimishwa naye.
  2. Na walio wa Kristu wameusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake.

Maoni - Toa Maoni

benjamin Feb 14, 2017
Pongeza, Kosoa.... Tunashukuru Sana kwa huduma za nyimbo

Toa Maoni yako hapa