Mtunzi: Gerald R. Mussa
> Mfahamu Zaidi Gerald R. Mussa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald R. Mussa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Gerald Mussa
Umepakuliwa mara 469 | Umetazamwa mara 1,882
Download Nota Download MidiMSIPOTUBU MTAANGAMIA-NA ENG. GERALD MUSSA
1) Je! Mwazani ya kwamba wagalilaya hao,walikuwa wenye dhambi kuliko wagalilaya wote,hata waka-patwa na mambo hayo?
KIITIKIO:
Nawaambia sivyo(nasema)sivyo(nasema)sivyo(nasema)sivyo(lakini) lakini msipotubu,(lakini) lakini msipotubu(nanyi) nanyi mtaangamia vivyo hivyo.x2
2) Au,wale waloangukiwa na mnara huko siloamu ukawaua,mwadhani ya kwamba wao walikuwa wakosaji kuliko watu wote waliokaa Yerusalemu?