Ingia / Jisajili

Nalifurahi Waliponiambia

Mtunzi: Gerald R. Mussa
> Mfahamu Zaidi Gerald R. Mussa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald R. Mussa

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Gerald Mussa

Umepakuliwa mara 4,335 | Umetazamwa mara 14,270

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

Nalifurahi waliponiambia.x2 na twende nyumbani(twende nyumbani) nyumbani mwa Bwana, na twende nyumbani, nyumbani mwa Bwana.x2

  1. Miguu yetu imesimama,ndani ya malango yako ee Yerusalemu.
  2. Yerusalemu uliyejengwa jengwa kama mji ulioshikamana
  3. Maana huko viliwekwa viti vya hukumu viti vya enzi  vya nyumba yake Daudi.

Maoni - Toa Maoni

Felix idumba mubangu Jan 30, 2024
Ongera sana

Toa Maoni yako hapa