Ingia / Jisajili

Nitaondoka

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 231 | Umetazamwa mara 636

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 24 Mwaka C
- Shangilio Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nitaondoka nitaondoka nitakwenda kwa Baba yangu X2

(Na kumwambia) baba baba baba nimekosa juu ya mbingu na mbele yako X2

1. Tufate mfano wa mwana mpotevu aliyefahamu makosa yake aliyasema

2. Tufate mfano wake Simoni Petro aliyemkana Bwana Yesu naye akatubu

3. Ewe Mungu wangu nisaidie mimi ninapofahamu makosa yangu nami niseme


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa