Ingia / Jisajili

Watu Na Wakushukuru

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 132 | Umetazamwa mara 196

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 20 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Watu na wakushukuru na wakushukuru Ee Mungu watu wote na wakushukuru na wakushukuru Ee Mungu X2

1. Mungu na atufadhili na atufadhili na atufadhili na kutuangazia uso wake njia yake ijulikane duniani wokovu wake katikati ya mataifa yote

2. Mataifa na washangilie na washangilie naam waimbe kwa furaha maana kwa haki utawahukumu watu na kuwaokoa mataifa walioko duniani

3. Watu na wakushukuru Ee Mungu watu wote na wakushukuru Bwana Mungu atatubariki sisi miisho yote ya dunia itamcha yeye

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa