Ingia / Jisajili

Mke Wako Atakuwa Kama Mzabibu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 381 | Umetazamwa mara 822

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mke wako atakuwa kama mzabibu X2

Wenye kuzaa matunda (matunda) ndani ya nyumba yako wenye kuzaa matunda (matunda) ndani ya nyumba yako X2

1. Heri kila mtu amchaye Bwana aendaye katika njia yake taabu ya mikono yako hakika utaila utakuwa heri na kwako kwema

2. Wanao watakuwa watakuwa kama miche miche ya mizeituni wakiizunguka wakiizunguka meza yako tazama atabarikiwa hivyo yule amchaye Bwana

3. Bwana akubariki toka Sayuni uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako naam ukawaone wana wa wanao

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa