Ingia / Jisajili

Bwana Alimfumbulia Kinywa Chake

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Watakatifu

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 59 | Umetazamwa mara 108

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana alimfumbulia kinywa chake katikati ya kanisa katikati ya kanisa X2

Akamjaza na roho ya hekima na roho ya akili akamvika taji ya utukufu X2

1. Kwa maana amchaye Bwana atafanya hivyo naye aishikaye torati atapata hekima

2. Naye hekima atakutana naye kama mama na mfano mfano wa mke aliye mwanawali

3. Atamlisha mkate wa ufahamu atamnywesha atamnywesha maji ya utambuzi

4. Huyo naye atathibitishwa juu yake asitikisike na kumtegemeza yeye asifadhaike

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa