Ingia / Jisajili

Uwe Kwangu Mwamba

Mtunzi: Ernest Magunus
> Mfahamu Zaidi Ernest Magunus
> Tazama Nyimbo nyingine za Ernest Magunus

Makundi Nyimbo: Zaburi | Mwanzo

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 465 | Umetazamwa mara 936

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 6 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 6 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 6 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

     Uwekwangu mwamba, uwe kwangu mwaba ×2     Uwekwangu mwamba mwamba wanguvu, Nyumba yenye maboma yenye kuniokoa ×2.

    MASHAIRI:

  1. Ndiwe genge langu na ngome yangu, kwaajili ya jina lako uniongoze unichunge. 
  2. Niokoe katika mtego wa wenye hi-la, Maana wewe ni kimbilio na salama yangu. 
  3. Mikononimwa-ko naiweka roho ya-ngu, U-me-ni-komboa ee Mwe-nye-zi Mungu. 
  4. Nitashangili-a daima na kufura-hi, kwaajili ya wema wako Bwana na- fadhili zako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa