Ingia / Jisajili

Ee Bwana Wewe ndiwe Mwenye Haki

Mtunzi: Ernest Magunus
> Mfahamu Zaidi Ernest Magunus
> Tazama Nyimbo nyingine za Ernest Magunus

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 563 | Umetazamwa mara 1,539

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
||: Ee Bwana Wewe ndiwe Mwenye Haki na hukumu zako Ni za adili, Kama zilivyo rehema zako umtendee mtumishi wako.:||

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa