Ingia / Jisajili

Furahi Jerusalemu

Mtunzi: Ernest Magunus
> Mfahamu Zaidi Ernest Magunus
> Tazama Nyimbo nyingine za Ernest Magunus

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 670 | Umetazamwa mara 1,850

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO: FURAHI Jerusalem mshangilieni ninyi nyote mpendao :|| SHAIRI: 1. Furahini ninyi nyote mliao kwa ajili yake mpate kunyonya na kushibishwa kwa maziwa ya faraja zake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa