Mtunzi: Ernest Magunus
> Mfahamu Zaidi Ernest Magunus
> Tazama Nyimbo nyingine za Ernest Magunus
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS
Umepakuliwa mara 913 | Umetazamwa mara 2,313
Download Nota Download MidiKIITIKIO:
Mungu awabariki nanyi mkaishi kwa amani mjawe upendo mkaijenge nyumba yenu ×2.
MASHAIRI:
1(a).Mkeo atakuwa kama mzabibu bora, Wenye matunda mengi ndani ya nyumba yako.
1(b).Watoto wako kama chipukizi za mzeituni, Wakiizunguka na kuiopamba meza yako.
2(a).Ndoa yenye baraka niile yenye kumcha Mungu, Yenye upendo MKUU upitao mapendo yote.
2(b).Familia takatifu niileya kumpendeza Mungu, Hiyo ni familia inayo ndumu katika pendo.
3(a).Mpendane Siku zote zamaisha yenu, Familia yenu I we mfano wa kuigwa.
3(b).Siku zote mdumu kwa sala na maombi, Mkimwomba Mungu awape baraka zake.