Ingia / Jisajili

Tuliiona Nyota Yake Mashariki

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Epifania

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 158 | Umetazamwa mara 263

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tuliiona nyota yake mashariki nasi tumekuja tumekuja na zawadi tumekuja na zawadi kumsujudia Bwana X2

1. Nao mamajusi walipoiona ile nyota walifurahi furaha kubwa mno

2. Wakaingia nyumbani wakamwona mtoto na mama wakaanguka wakamsujudia

3. Nao walipokwisha kufungua zawadi zao wakamtolea tunu dhahabu uvumba na manemane

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa