Ingia / Jisajili

Bwana Asema Kama Vile Baba

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 534 | Umetazamwa mara 1,963

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 31 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 31 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 31 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana asema kama vile Baba aliye hai alivyonituma mimi {(nami ni hai kwa Baba) nami ni hai kwa Baba kadhalika naye mwenye kunila atakuwa hai kwa mimi} X2

1. Hiki ndicho chakula kishukacho toka mbinguni si kama mababa walivyokula wakafa bali akilaye chakula hiki ataishi milele

2. Akawaambia amin nawaambieni msipoula mwili wake mwana wa Adamu na kuinywa damu yake hamna uzima ndani yenu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa