Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Beatus Idama
Umepakuliwa mara 811 | Umetazamwa mara 3,303
Download Nota (TZS 20) Download MidiALELUYA - ASIFIWE MUNGU SIKU KWA SIKU
Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya
Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya
1. Asifiwe Mungu siku kwa siku Yeye hutubebea mizigo yetu, Yeye ndiye Mungu, Mungu wa wokovu wetu