Ingia / Jisajili

Aleluya - Njoni Kwangu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,828 | Umetazamwa mara 8,613

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Aleluya aleluya aleluya aleluya  x 2

Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao, na wenye kuelemewa, kuelemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa