Ingia / Jisajili

Aleluya No.3

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 168 | Umetazamwa mara 225

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Dominika ya 14 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya X2

1. Bwana maneno yako ni roho tena ni uzima wewe unayo maneno ya uzima wa milele

2. Nena Bwana kwa kuwa mtumishi wako anasikia wewe unayo maneno ya uzima wa milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa