Ingia / Jisajili

Njoni Tumwabudu Mungu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 37 | Umetazamwa mara 74

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Njoni njoni tumwabudu Mungu tusujudu tupige magoti mbele ya Bwana aliyetuumba kwa maana ndiye Mungu kwa maana ndiye Bwana Mungu wetu (ndiye) Bwana Mungu wetu X2

1. Njoni tumwimbie Bwana tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu tuje mbele zake kwa shukrani tumfanyie shangwe kwa zaburi

2. Kwa kuwa Bwana ni Mungu mkuu na Mfalme juu ya miungu yote mkononi mwake zimo bonde za dunia hata vilele vya milima ni vyake

3. Bahari ni yake ndiye aliyeifanya ndiye aliyeifanya na mikono yake iliumba nchi kavu na mikono yake iliumba nchi kavu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa