Ingia / Jisajili

Mungu Ni Mwenye Huruma Nyingi

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwaka wa Huruma ya Mungu

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 56 | Umetazamwa mara 127

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Lakini Mungu ni mwenye hurumu nyingi X2

Alitupenda kwa mapendo mapendo yasiyopimika hata ingawa tulikuwa tumekufa sababu ya dhambi alitufanya hai pamoja na Kristo X2

1. Kwa neema ya Mungu ninyi mmeokolewa kwa kuungana na Kristo Yesu Mungu alitufufua pamoja naye tukatawale naye mbinguni

2. Ndivyo alivyopenda kuonesha kwa watu wa nyakati za baadaye ukuu wa neema aliyotujalia kwa ukarimu katika kuungana kwetu na Kristo Yesu

3. Kwa kuwa Bwana hatamtupa mtu hata milele maana ajapomhuzunisha ajapomhuzunisha atamrehemu kwa kadiri ya wingi wa huruma zake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa