Ingia / Jisajili

Alleluia Bwana Amefufuka

Mtunzi: Pdr. Peter Okwayo CP
> Mfahamu Zaidi Pdr. Peter Okwayo CP
> Tazama Nyimbo nyingine za Pdr. Peter Okwayo CP

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Pdr. Peter Okwayo CP

Umepakuliwa mara 16 | Umetazamwa mara 36

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Pasaka

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Jambo hili lafurahisha, Bwana amefufuka. Ilivyoandikwa siku ya tatu atoka kuzimu. Tuimbe (Imba) Alleluia Bwana amefufuka X2 1. Makerubi na Serafin Allelluia Hosanna amefufuka Malaika wote wa mbinguni Alleluia Hosanna amefufuka. Ayee Alleluia Bwana amefufuka, kweli Alleluia kaburi wazi, tena alleluia, yu hai. 2. Wanadamu bani Israeli, alleluia ni Mwokozi wetu. Jua na mwezi alleluia ni Mwokozi wetu. Ayee alleluia Bwana amefufuka, kweli alleluia kaburi wazi, tena alleluia yu hai.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa