Ingia / Jisajili

Bwana Upokee

Mtunzi: Pdr. Peter Okwayo CP
> Mfahamu Zaidi Pdr. Peter Okwayo CP
> Tazama Nyimbo nyingine za Pdr. Peter Okwayo CP

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Pdr. Peter Okwayo CP

Umepakuliwa mara 39 | Umetazamwa mara 55

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana upokee sadak yetu, Bwana upokee X2 1. Ni mazao ya mashamab yetu Bwana tunakutolea. 2. Na nia zetu za mioyo yetu Bwana tunakutolea 3. Mkate na divai ni mali yako Bwana tunakutolea 4. Tulivyonavyo ni mali yako Bwana tunakutolea

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa