Ingia / Jisajili

Chunga Kondoo Wangu

Mtunzi: Pdr. Peter Okwayo CP
> Mfahamu Zaidi Pdr. Peter Okwayo CP
> Tazama Nyimbo nyingine za Pdr. Peter Okwayo CP

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Mwanzo

Umepakiwa na: Pdr. Peter Okwayo CP

Umepakuliwa mara 75 | Umetazamwa mara 123

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Chunga chunga kondoo wangu Lisha lisha kondoo wangu. Chunga na ulishe (ulinde) kondoo wangu X2 (Wewe Kanisa Kanisa Moja Katoliki Wewe Kanisa Kanisa Moja Takatifu. Wewe Kanisa Kanisa Moja la Kitume. Chunga Kondoo wangu)X2 1. Kwa maana nataka rehema wala si dhabihu. Kumkubali Mungu zaidi kuliko sadaka za kuteketezwa. 2. Wewe kumbuka maskini, Bwana atakutuza. Mwanao kumrudia maana katika hiyo kuna tumaini. 3. Dini iliyo safi inayokubalika. Saidia yatima wajane katika dhiki ili kujilinda. 4. Sakramenti ishara wazi yenye neema fiche. Makuhani wamekutolea katika kujaza Kanisa lako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa