Ingia / Jisajili

Bwana Ninakutolea Sadaka

Mtunzi: Pdr. Peter Okwayo CP
> Mfahamu Zaidi Pdr. Peter Okwayo CP
> Tazama Nyimbo nyingine za Pdr. Peter Okwayo CP

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Pdr. Peter Okwayo CP

Umepakuliwa mara 62 | Umetazamwa mara 95

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Bwana ninakutolea sadaka yangu ya leo. Bwana ninakutolea kwa mikoni ya kuhani)X2 1. Kila kuhani mkuu, huchaguliwa kwa watu 2. Kuwawakilisha watu kwa mambo ya kimungu. 3.Ili apate kutoa dhabihu kwa dhambi. 4. Mwenyewe ni mdhaifu aweza kuwachukulia upole. 5. Hivyo inampasa kutoa dhabihu yake na ya wote. 6. Ni lazima ajue ni Mwenyezi Mungu kamstahilisha.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa