Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 839 | Umetazamwa mara 2,659
Download NotaAltareni pa Bwana Yesu, ndipo ilipo hazina yetu; Malaika nipeleke Yesu unipokee x2
1.Wapenzi waitwa, juu wasema harakisha, wapenzi wako kwa Yesu, wana mavazi meupe.
2.Wapenzi waitwa, twende twende kwa Bwana Yesu, Bwana atungoja tukae, tukae naye juu.
3.Yesu atuita, atuita kwani twachelewa, acheni ya dunia amani amani yake Yesu.