Ingia / Jisajili

Nitakwenda kwa Baba yangu

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 55 | Umetazamwa mara 400

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 24 Mwaka C
- Shangilio Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

Nitaondoka nitakwenda kwa Baba yangu x2. nitaondoka mimi nitakwenda kwa Baba yangu (Nitaondoka) nitaondoka nitaondoka nitakwenda kwa Baba yangu x2.

  • 1.Ee Mungu unirehemu sawasawa na fadhili zako, kiasi cha wingi wa rehema zako uyafute makosa yangu.
  • 2.Ee Mungu uniumbie uniumbie moyo safi, uifanye upya roho yangu iliyotulia ndani yangu.
  • 3.Ee Bwana uifumbue uifumbue midomo yangu, nacho kinywa changu nacho kinywa changu kitazinena sifa zako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa