Ingia / Jisajili

Enyi Watu wa Galilaya

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 106 | Umetazamwa mara 244

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Kupaa kwa Bwana

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enyi watu wa Galilaya mbona mwasimama mkitazama mbinguni mbinguni x2 Atakuja vivyo hivyo mlivyomuona akienda zake mbinguni Aleluya x2 1. Enyi watu wote pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe, sauti ya shangwe. 2. Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu. 3. Basi enendeni ulimwenguni pote, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, natazama niko pamoja nanyi hata ukamilifu wa dahari.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa