Ingia / Jisajili

Pokea Sadaka

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 614 | Umetazamwa mara 2,312

Download Nota
Maneno ya wimbo

1.Bwana tazama, mwanao, najakwako na sadaka yangu mkononi naomba uipokee ni sadaka ya shukrani pokea Bwana Wangu.

  • Kiitikio:
  • Sadaka yangu pokea Bwana pokea, juhudi zangu pokea Bwana pokea. na nia zangu chukua pokea mawazo yangu chukua pokea sala na maombi pokea Bwana wangu chukua.

  • 2.Ni sadaka ya sifa na shukrani, pokea na sala zangu, chukua nia zangu pokea chukua Bwana wangu.
  • 3.Mwanao alitoa sadaka ya damu msalabani alipie dhambi zetu na  sisi leo tunaleta sadaka kwako nijuhudi zetu tu ulizo tubarikia pokea BWana, chukua.
  • 4.Sadaka yangu pokea, chukua Bwana ninaitoa kwa moyo radhi haina kinyongo pokea chukua.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa