Mtunzi: Egidius .g. Mushumbusi
> Tazama Nyimbo nyingine za Egidius .g. Mushumbusi
Makundi Nyimbo: Anthem | Misa
Umepakiwa na: mushumbusi
Umepakuliwa mara 1,484 | Umetazamwa mara 4,979
Download Nota Download Midi
1. Tutakiane amani ya Bwana wetu Kristu sote amani ya Yesu kristu ikae nasi Tutakiane amani ya Bwana wetu Kristu sote amani ya Yesu kristu ikae nasi. Amani yake Bwana iwe nasi siku zote amani yake Bwana ikae nasi.
2. Tutakiane furaha.......
3. Tutakiane upendo.......
4. Tutakiane neema za.......
5. Tutakiane huruma.......