Ingia / Jisajili

Mshukuruni

Mtunzi: Egidius .g. Mushumbusi
> Tazama Nyimbo nyingine za Egidius .g. Mushumbusi

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: mushumbusi

Umepakuliwa mara 613 | Umetazamwa mara 2,034

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

1.Mshukuruni Mungu kwa baraka zake anazotujalia maishani mwetu

 Kiitikio: Aleluya ×4

2. Baraka zake Mungu zatuepusha mengi, mengi yatusongayo maishani mwetu.
3. Upendo wake Mungu kweli ni wa ajabu,hauna ubaguzi japo hatustahili.
4. Sote kwa namna zetu tumemkimbia Mungu, bali neema zake zatuvuta kwake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa