Mtunzi: Egidius .g. Mushumbusi
> Tazama Nyimbo nyingine za Egidius .g. Mushumbusi
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: mushumbusi
Umepakuliwa mara 818 | Umetazamwa mara 2,694
Download Nota Download MidiTumtolee Mwenyezi zawadi zetu tulizoandaa leo kumshukuru. kwa yale yote anayotujalia x2
1. tumtolee Mungu zawadi zetu tulizoandaa kama shukrani zetu
2. na mabaya mengi anatuepusha tumshukuru kwa kumtolea zawadi
3. tunakutolea kwa unyenyekevu twakuomba Baba yetu uzipokee