Mtunzi: Egidius .g. Mushumbusi
> Tazama Nyimbo nyingine za Egidius .g. Mushumbusi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 1,395 | Umetazamwa mara 4,069
Download Nota Download MidiJongeeni mezani kwa Bwana tuule mwili na damu yake x2
Mwili na damu ya Bwana Yesu vitupatie ule uzima uzima uzima wa milele x2
1. Mwili wake Yesu pia damu yake vi tayari tushiri
2. Mwili pia damu vyake Bwana Yesu vitupatie uzima
3. Ee Bwana Yesu mimi ni mdhambi nisafishe kwa damuyo
4. Ee Yesu njoo ndani yangu nikumbushe kukupenda