Ingia / Jisajili

Amefufuka Mchungaji Mwema

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 157 | Umetazamwa mara 525

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
AMEFUFUKA MCHUNGAJI MWEMA ALIYE UTOA UHAI WAKE KWA AJILI YAKONDOO ZAKE X2 fine 1. Bwana akakubali.kufa Kwa AJILI YAKO ndio zake.kweli A-mefufuka.2.Mbingu zafurahi. Nayo nchi yashangilia sababu.kweli Bwana kafufuka.3.Amefufuka kweli.twimbe twimbe kwafuraha kafufuka.mchungaji wetu mwema.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa