Mtunzi: Mwarabu Flowin Kaiza
> Mfahamu Zaidi Mwarabu Flowin Kaiza
> Tazama Nyimbo nyingine za Mwarabu Flowin Kaiza
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Flowin Mwarabu
Umepakuliwa mara 1,775 | Umetazamwa mara 4,473
Download Nota Download Midikiitikio:
I: Waumini tumshangilie bwana Yesu........................ Yesu amefufuka
II: & III: .........................................tumshangilie bwana Yesu ka--fu--fu--ka--
IV: Waumini tumshangilie bwana Yesu bwana Yesu ka--fu--fu--ka---
I: kaburi liko wazi ...................... ka--fu--fu---ka
II: & III: kaburi liko wazi bwana wetu Yesu kafufuka
IV: kaburi liko wazi Ye---su--- fa--fu----fu---ka } *2
kama alivyosema vunja hili hekalu siku ya tatu nitalijenga,
ameshinda mauti mwokozi ni mzima
I: kweli bwana Yesu kafufuka
II:, III: & IV: bwana Yesu amefufuka
Maimbilizi:
1. Malaika katoa habari njema, kwa wale waliokwenda kaburini
hayumo tena yu hai
2. Kachukua funguo za kuzimu, sasa anauwezo juu ya mauti
amefufuka yu hai
3. Kufufuka kwa Yesu chanzo cha imani, kwamba siku ya mwisho atatufufua
amefufuka yu hai