Ingia / Jisajili

Nimevipiga vita vilivyo vizuri

Mtunzi: Frt. Aidanus Chimazi
> Mfahamu Zaidi Frt. Aidanus Chimazi
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Aidanus Chimazi

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Aidanus Chimazi

Umepakuliwa mara 1,005 | Umetazamwa mara 3,250

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nimevipiga vita vilivyo vizuri (mimi) nimevipiga vita vilivyo vizuri (mimi) mwendo nimeumaliza, imani nimeilinda.

  1. Sasa mimi nangojea, sasa mimi nangojea, sasa mimi nangojea nivikwe taji
  2. Nimevipiga vita, vita vilivyo vizuri, sasa mimi nangojea nivikwe taji.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa