Ingia / Jisajili

Nitakushukuru Mungu Wangu Kwa Moyo Wangu Wote

Mtunzi: Frt. Aidanus Chimazi
> Mfahamu Zaidi Frt. Aidanus Chimazi
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Aidanus Chimazi

Makundi Nyimbo: Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Aidanus Chimazi

Umepakuliwa mara 246 | Umetazamwa mara 548

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 17 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nitakushukuru Mungu wangu kwa moyo, kwa moyo wangu wote. mbele ya miungu nitaimba zaburi. nitashukuru nikilikabili hekalu lako (Bwana wangu) Hekalu lako; nitasujudu nikilikabiri hekalu lako. 1.(a) Nitalishukuru jina lako kwa ajili ya fadhili zako (b) Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako. 2. (a) Kwa maana umekuza umekuza ahadi yako. (b) Kuliko jina lako jina lako, jina lako lote 3. (a)Siku ile niliyokuita uliniitikia. (b) Ukanifarii nafsi yangu kwa kunitia nguvu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa