Mtunzi: H. Matete
> Tazama Nyimbo nyingine za H. Matete
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 3,687 | Umetazamwa mara 7,663
Download Nota Download MidiAMINI NAWAAMBIA
Amini Amininawaambia mmoja kati yenu atanisaliti mmoja kati yenu atanisaliti ...x2
Je, ni Mimi Bwana Je, ni Mimi Bwana ni yule nitakayemtolea tonge ...x2
1. Ee Mungu wangu ni Mimi ninaye kutesa kwa dhambi zangu
2. Tazama Bwana ni Mimi mdhaifu wa Moyo nihurumie.