Mtunzi: H. Matete
> Tazama Nyimbo nyingine za H. Matete
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Lawrence Nyansago
Umepakuliwa mara 3,036 | Umetazamwa mara 7,941
Download Nota Download Midi
(Kabila langu, kabila langu nimekutendea nini, nimekutendea nini au nimekusikitisha kitu gani) x 2
(Ilipasa nikutende nini zaidi, nini zaidi, nisikutendee, nilikupenda kama shamba zuri sana) x 2