Mtunzi: H. Matete
> Tazama Nyimbo nyingine za H. Matete
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,144 | Umetazamwa mara 3,265
Download Nota Download MidiRoho yangu inahuzunika sana kiasi cha kufa kesheni pamoka name x2
Simoni Petro hamkuweza kukesha pamoja name hata saa moja kesheni mkiomba msije mkatiwa majaribuni x2
1. Roho yangu iradhi mwili wangu udhaifu
2. Ondokeni twende zetu msaliti anakuja