Mtunzi: H. Matete
> Tazama Nyimbo nyingine za H. Matete
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 3,210 | Umetazamwa mara 7,024
Download Nota Download Midi
Ee Baba mikononi mwako naiweka roho yangu kwa maana wewe ndiwe Mungu wangu x2
1. Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike milele kwa haki yako uniponye uniokoex2
Nimekua kitu cha kutisha kwa rafiki zangu wote wanionao njiani hunicheka sana
2. Kwasababu ya watesi wangu nimekuwa laumu nikomboa Ee Bwana Mungu wa kweli
Lakini mimi Mungu wangu nimekutumainia nimesema wewe Bwana ndiwe Mungu wangu