Mtunzi: Julius Anari
> Mfahamu Zaidi Julius Anari
> Tazama Nyimbo nyingine za Julius Anari
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Julius Anari
Umepakuliwa mara 600 | Umetazamwa mara 1,973
Download Nota Download Midi(Jifunzeni Kutoa kwa moyo wa ukarimu, kipimo kilichoshinikizwa na kutikizwa pamoja)*2 (Kwa kuwa kipimo kile utakacho kitumia kwa kutoa, kitapimiwa kwako tena, tumtoleeni Mungu Kadri ya Uwezo wetu.)*2
1. Msifanye wema machoni pa watu wote, kusudi mtazamwe na watu wote
2. Usitoe kwa choyo wala uchungu, toeni sadaka kwa moyo safi
3. Toeni nyote sadaka yenu kwa Mungu, ishara yetu ya Kumpa Mungu shukrani